Pages

October 22, 2016

DK. SHEIN AWAZAWADIA WANAFUNZI WALIOFAULU DARAJA LA KWANZA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei mwaka- 2016,sherehe ya kuwazawadia wanafunzi hao iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Baadhi ya Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei mwaka- 2016, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao katika sherehe maalum ya kuwazawadia iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Mahira Baraka Hamadi wa kidato cha sita Skuli ya Biashara Mombasa Wilaya ya Magharibi Unguja akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri katika Mtihani wa Taifa Mei mwaka 2016,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Munawara Abdull-Aziz Salim wa kidato cha sita Skuli ya SUZA Unguja akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri katika Mtihani wa Taifa Mei mwaka 2016,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Suhayla Hamad Abubakar wa kidato cha Nne Skuli ya Feza akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri katika Mtihani wa Taifa mwezi Octoba mwaka 2015,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Hamdoun Sabri Hamdoun wa kidato cha Nne Skuli ya SOS akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri katika Mtihani wa Taifa mwezi Octoba mwaka 2015,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Suleiman Ali Hamadi wa kidato cha sita Skuli ya Biashara ya Chasasa Pemba akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri zaidi kuliko wanafunzi wote hapa Zanzibar na ni mmoja kati ya wanafunzi kumi wa mwanzo Tanzania katika Mtihani wa Taifa mwezi mei mwaka 2016,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Baadhi ya Walimu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei mwaka- 2016, katika sherehe maalum ya kuwazawadia wanafunzi hao iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja




No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...