Pages

October 15, 2016

BOMBADIER YATUA ARUSHA KUINUA SEKTA YA UTALII NCHINI

Moja ya Ndege mpya aina ya Bombadier ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Arusha wakati maafisa wa Mamlaka ya Anga(TCAA)walipokua wakifanya ukaguzi kabla ya kuanza rasmi safari za kibiashara nchini.

Moja ya Ndege mpya aina ya Bombadier ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Arusha wakati maafisa wa Mamlaka ya Anga(TCAA)walipokua wakifanya ukaguzi kabla ya kuanza rasmi safari za kibiashara nchini.

Maafisa wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)wakilakiwa na wenyeji wao kwenye uwanja wa ndege wa Arusha.

Maafisa wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)wakilakiwa na wenyeji wao kwenye uwanja wa ndege wa Arusha jambo lililoibua furaha.



i.Mjumbe wa Bodi wa shirika la ndege la ATCL,Ibrahim Mussa ambaye ni Mkurugenzi wa Utalii wa Shirika la Hifadhi ya Taifa nchini(Tanapa)akizungumza na waandishi wa habari juu ya faida za utalii zitakazotokana na kukua usafiri wa anga nchini.

Baadhi ya watumishi wa uwanja wa ndege wa Arusha wakiifurahia Bombadier baada ya kupata nafasi ya kuingia na kujionea wenyewe.

Mkuu wa kitengo cha usalama wa shirika la ATCL,John Chaggu akiingia kwenye kwaajili ya kuendelea na ukaguzi kwenye viwanja vingine nchini

Baadhi ya wananchi waliokua wakipita kando ya barabara walilazimika kuishudia ndege hiyo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...