Pages

October 3, 2016

MAFISA WA TAASISI YA OPEC NA TASAF WAFURAHISHWA NA MIRADI YA KUNUSURU KAYA MASKINI JIJINI ARUSHA

Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya Kimataifa ya Mfuko wa misaada ya OPEC unaofadhili miradi mbalimbali chini Mfuko wa Tasaf nchini,Solomon Amieyeofori kutoka Vienna ,Austria(kushoto)akiwa na maafisa wa Mfuko wa Tasaf nchini kukagua miradi katika Jiji la Arusha. 

Ujumbe huo ukakagua ujenzi wa madarasa mawili katika Shule ya Msingi Azimio jijini Arusha.

Mmoja wa wanakikundi cha Ushonaji eneo la Kambi ya Fisi Kata ya Ngarenaro,Bupe Anyingise ambaye ni miongoni mwa wanufaikaji wa kunusuru Kaya maskini akishona nyumbani kwake ,Tasaf imewanunulia Vyerehani,Meza na vifaa mbalimbali kuwawezesha kujipatia kipato vilivyogharimu zaidi ya sh 28 milioni.

Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya Kimataifa ya Mfuko wa misaada ya OPEC unaofadhili miradi mbalimbali chini Mfuko wa Tasaf nchini,Solomon Amieyeofori kutoka Vienna ,Austria( wa pili kushoto)akiwa na maafisa wa Mfuko wa Tasaf nchini kukagua miradi katika Jiji la Arusha katika Shule ya Msingi Azimio,Kata ya Elerai.

Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya Kimataifa ya Mfuko wa misaada ya OPEC unaofadhili miradi mbalimbali chini Mfuko wa Tasaf nchini,Solomon Amieyeofori kutoka Vienna ,Austria(katikati)akiwa na maafisa wa Mfuko wa Tasaf nchini kukagua miradi katika Jiji la Arusha,kulia ni Mratibu wa miradi ya Tasaf nchini,Mhandisi Elisifa Kinasha.Walikagua ujenzi wa mabweni ya wasichana katika Shule ya Sekondari Korona ili kuwapunguzia adha ya kutembea umbali mrefu kwaajili ya kupata elimu. 

Maafisa wa Tasaf wakiwa katika picha ya pamoja na wanakikundi cha ushonaji katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...