Pages

August 20, 2016

WIZKID ATUA NCHINI KUTUMBUIZA TIGO FIESTA 2016 LEO JIJINI MWANZA


Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza jana,wakati wa mkutano kabla ya tamasha la Fiesta,kulia ni Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja.
Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja,akizungumza jijini Mwanza leo wakati wa mkutano wa Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid)(kushoto) na waandishi wa habari,kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta Sebastian Maganga












Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta Sebastian Maganga,akizungumza jijini Mwanza leo,kushoto ni Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) na Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja.


Wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Tigo Fiesta 2016 jijini Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja na  Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) mara baada ya mkutano na waandishi wa habari mapema leo jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...