Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mke wake Mama Janeth Magufuli wakisali katika ibada ya Jumapili katika
Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na waamini wa kanisa Katoliki wa Parokia ya Chato mara baada ya Ibada
katika kanisa hilo Chato Mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihamasisha mchango wa ujenzi wa Kanisa jipya la la Bikira Maria
Parokia ya Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Padre wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Henry Mulinganisa mara
baada ya kushiriki Ibada katika Kanisa hilo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na na Padre wa Kanisa la
Bikira Maria Parokia ya Chato Henry Mulinganisa mara baada ya kuwasili
kwenye kanisa hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono waamini wa Kanisa Katoliki Kanisa la Bikira Maria Parokia ya
Chato mkoani Geita hawapo pichani mara baada ya kushiriki Ibada katika
kanisa hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakimsikiliza Mchungaji wa Kanisa la
Anglikana Chato Zacharia Samson mara baada ya kuwasili katika kanisa
hilo la Anglikana Chato Mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiimba
wimbo wa Amani pamoja na Kwaya ya Kanisa la African Inland Church la
Chato Mkoani Geita mara baada ya kuwasili katika kanisa hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia
Mwalimu wake wa zamani wa Shule ya Msingi Chato Mkoani GeitaMwalimu
Mkuu Mstaafu Jackson Nyamwaga mara baada ya kumuona wakati akitoka
katika Kanisa la African Inland Church la Chato Mkoani Geita.
Shekhe
wa Bakwata Wilaya ya Chato Hassan Issa Mnubi akiongoza dua ya Kumuombea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja
na Mkewe Mama Janeth Magufuli nje ya Msikiti wa Omar Bin-L-Khattab
Chato Mkoani Geita. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment