Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,Calist Lazaro(kushoto) akimweleza jambo Naibu
Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa(Tamisemi)Suleiman Jaffo eneo la Olmoti kilipo kisima cha maji kinachowahudumia wananchi wa Kata ya Olmoti na Olasiti pia maji hayo yatatumika kwenye mahakama ya kimataifa ya MICT,kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira,Mhandisi Ruth Koya,Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,Athumani Kihamia na Mkuu wa wilaya ya Arusha,Mrisho Gambo(katikati). |
No comments:
Post a Comment