Rais wa
Rwanda Paul Kagame, (wapili kulia) akiwa na mwenyeji wake Rais John
Pombe Magufuli, (wakwanza kulia), akimkabidhi tuzo ya msindi wa kwanza
kundi la Mifuko
ya Hifadhi ya Jamii na makampuni ya Bima, Mkurugenzi Mkuu wa PPF,
William Erio, wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya 40 ya Biashara ya
Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar
es Salaam Julai 1, 2016. Wapili kushoto ni Waziri wa Viwanda
na Biashara, Charles Mwijage.
Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele (wa kwanza kulia) akiungana na wafanyakazi
wenzake kusherehekea tunzo ambayo Mfuko umepata wakati wa uzinduzi wa
maonyesho hayo ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Afisa wa PPF anayeshughulikia huduma kwa Wanachama Mohammed Siaga,akionyesha tuzo hiyo
Wafanyakazi wa PPF wakishangilia ushindi huo mbele ya banda lao
No comments:
Post a Comment