Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwasili katika Hifadhi ya Taifa ya Rubondo.
Naibu Waziri wa Maliasili
na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akipokelewa na Mbunge wa Geita Vijijini
Joseph Kasheku (Msukuma) mara baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Taifa
ya Kisiwa cha Rubondo.
Naibu
Waziri wa Maliasili
na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na Kaimu Mkuu wa mkoa wa
Geita ,Herman Kapufi mara baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Taifa ya
Kisiwa cha
Rubondo.
Naibu
Waziri wa Maliasili
na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya
Utalii katika Shirika la Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo.
Naibu Waziri wa Maliasili
na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi
ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo ,Missana Mwishawa muda mfupi baada ya
kuwasili katika hifadhi hiyo.
Naibu Waziri wa Maliasili
na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo.
Mkurugenzi wa Idara ya Utaliii wa Shirika la Hifadhi za Taifa,(TANAPA)
Ibrahimu Musa akiteta jambo na Naibu Waziri wa Maliasili
na Utalii,Mhandisi Ramo Makani kabla ya kuanza kikao na watumishi wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha
Rubondo.
Mkurugenzi
wa Idara ya Utaliii wa Shirika la Hifadhi za Taifa,(TANAPA) Ibrahimu
Musa akizungumza wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani na watumishi wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa
cha Rubondo.
Mhifadhi
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo ,Missana Mwishawa
akisoma taarifa ya hifadhi hiyo kwa Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani.
Mkuuu
wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo,Missana Mwishawa akimkabidhi
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani taarifa ya
Hifadhi hiyo.
Kaimu
Mkuu wa mkoa wa Geita ,Herman Kapufi akizungumza katika mkutano wa
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani (kulia kwake)
alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo.kushoto ni
Mkurugenzi wa Idara ya Utalii wa Shirika a Hifadhi za Taifa (TANAPA)
Ibrahim Musa.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisisitiza jambo
wakati wa kikao chake na watumishi wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha
Rubondo alipofanya ziara ya siku moja katika Hifadhi hiyo.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwa katika
picha ya pamoja na watumishi wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo
pamoja na viongozi wengine wa serikali wa mkoa wa Geita mara baada ya
kumalizika kwa kikao na watumishi wa hifadhi hiyo.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwa katika picha
ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Geita mara baada ya
kumaliza kikao na watumishi wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo.
No comments:
Post a Comment