Baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania wakielekea ndani ya Ukumbi wa Bunge kusikiliza Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Waziri wa Elimu,
Sayansi na Mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako akisalimiana na Mbunge waAfrika Mashariki Mhe. Shy-Rose Bhanji nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Sayansi na Mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako akisalimiana na Mbunge waAfrika Mashariki Mhe. Shy-Rose Bhanji nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Mbunge wa Mafinga Mjini Mhe. Cosato Chumi akichangia kuhusu Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki iliyowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Augustine Mahiga mjini Dodoma.
Baadhi ya Mawaziri wakifuatilia michango mbalimbali ya wabunge wakati wa mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki iliyowasilishwa mjini Dodoma.
Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvu akizungumza
na Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini Mh. Peter Msigwa mara baada ya kikao
cha bunge kuahirishwa mchana , Kushoto anayecheka ni Mh. Balozi
Augustino Mahiga Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Kikanda na Kimataifa.
No comments:
Post a Comment