Mkurugenzi
Mkuu Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA), Dk.Allan Kijazi (kulia),
akimkabidhi cheti cha ushiriki, Mhariri wa gazeti la Jambo Leo, Joseph
Kulangwa.
Mwanahabari na Blogger Khadija Kalili akikabidhiwa cheti.
Mpiga picha Loveness Benard wa gazeti la Tanzania Daima akikabidhiwa cheti.
Mwanahabari na Blogger Mroki Mroki akipokea cheti chake.
Mwanahabari Mussa Mukama kutoka gazeti la Dira akipokea cheti hicho.
Mwanahabari Julius Magodi akikabidhiwa cheti chake.
Mhariri Kulwa Karedia wa gazeti la Mtanzania akipokea cheti.
Mhariri
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari ambaye pia ni Mwenyekiti mstaafu
wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda akipokea cheti.
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa akikabidhiwa cheti chake cha ushiriki.
Wanahabari wakimsiliza Dk. Kijazi wakati akifunga mkutano huo.
Wanahabari wakimsiliza Dk. Kijazi wakati akifunga mkutano huo. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062) |
No comments:
Post a Comment