Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Rodriguez Alvaro
(kulia) akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Tulia Ackson (kulia) mara baada ya kufika Ofisini kwake
Bungeni Dodoma .
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson
(kulia) akizungumza na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na
Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini Tanzania , Rodriguez Alvaro (kulia) mara baada ya mwakilishi huyo kufika Ofisini kwake Bungeni Dodoma .
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Rodriguez Alvaro
(kulia) akimwonesha Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Tulia Ackson (kulia) sehemu ya taarifa ya mwaka ya
utekelezaji wa programu mbalimbali za Umoja wa Mataifa nchini mara baada
ya kufika Ofisini kwake Bungeni Dodoma.
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Rodriguez Alvaro
(kulia) akimkabidhi Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Tulia Ackson (kulia) taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa
programu mbalimbali za Umoja wa Mataifa nchini mara baada ya kufika
Ofisini kwake Bungeni Dodoma .
Wabunge
Mhe. Margaret Sitta (Kushoto) na Mhe. Najma Murtaza Giga, Mwenyekiti wa
Bunge wakiwa katika picha ya pamoja kwenye rangi za Malengo Mapya ya
Maendeleo Endelevu 17 ya dunia wakati wa Semina ya wabunge kuhusu
mchango wao katika utekelezaji wa malengo hayo nchini iliyofanyika
Bungeni, Dodoma.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson
(kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya
Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini
Tanzania , Rodriguez Alvaro
(kulia) kwenye rangi za Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu 17 ya dunia
wakati wa Semina ya wabunge kuhusu mchango wao katika utekelezaji wa
malengo hayo Bungeni Dodoma.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson
akiwa ameshika mabango mawili yenye malengo mapya 2 ya Maendeleo
Endelevu kati ya 17 ya Umoja wa Mataifa yanayotakiwa kutekelezwa duniani
kote kuanzia mwaka huu hadi 2030.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
(kushoto) katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo
(UNDP) nchini Tanzania , Rodriguez Alvaro
(kulia) wakiwa na mabango yenye Malengo Mapya 2 kati ya 17 ya dunia
wakati wa Semina ya wabunge kuhusu mchango wao katika utekelezaji wa
malengo hayo Bungeni Dodoma .
No comments:
Post a Comment