Pages

June 5, 2016

OLE SENDEKA ATIKISA KILWA MASOKO, MKOANI LINDI, MAMIA WAHUDHURIA MKUTANO WAKE WA HADHARA .

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa hadhara uliofayika jana jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi. Sendeka amesema, Wapinzania wanadai kwamba Rais Dk. John Magufuli uongozi wake ni wa Kidikteta, wameamua kujaribu hoja hiyo kwa kuwa wameishiwa hoja na hata hivyo hoja yao hiyo haiwezi kuwa na mashiko kwa Watanzania ambao wanaamini Rais Dk. Magufuli anavyofanya sasa kupasua majipu na kupambana na vitendo vya ufiadi, kufuja rasilimali za nchi, uzembe na umangimeza ni sahihi. 
 Wananchi wakimshangilia Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka alipoingia kwenye mkutano wa hadhara uliofayika  katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi leo jioni
 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa hadhara uliofayika  katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi. Sendeka amesema, Wapinzania wanadai kwamba Rais Dk. John Magufuli uongozi wake ni wa Kidikteta, wameamua kujaribu hoja hiyo kwa kuwa wameishiwa hoja na hata hivyo hoja yao hiyo haiwezi kuwa na mashiko kwa Watanzania ambao wanaamini Rais Dk. Magufuli anavyofanya sasa kupasua majipu na kupambana na vitendo vya ufiadi, kufuja rasilimali za nchi, uzembe na umangimeza ni sahihi.  
Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofayika  katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiingia kwenye mkutano wa hadhara uliofayika  katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi . Pamoja naye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa huo, Ali Mtopa
 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akislimia Wazee Maarufu ambao ni Waasisi wa TANU na baadaye CCM, alipowasili kwenye mkutano wa hadhara uliofayika  katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi
 
 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa, wakiwafurahia wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofayika  katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi
 Vijana wa bodaboda wakiingia kwa mbwembwe za aina yake kwenye mkutano huo
 Vijana waendesha bajaji wakiingia kwa mbwembwe za aina yake kunogesha mkutano huo
 Vijana Chipukizi wa CCM wacheza sarakasi wakiingia kwa gari lao kwa mbwembwe za aina yake kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye Vianja vya Mkapa Garden, wilayani Kilwa Masoko mkoani Lindi 
 Kijana wa kikundi cha Sarakasi cha Umoja wa Vijana wa CCM akionyesha umahir wake, vijana hao walipocheza sarakasi kabla ya mkutano huo kuhutubiwa na Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka  katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi
 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwafurahia vijana hao wakati wakicheza sarakasi kwenye mkutano wa hadhara uliofayika  katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi
 Vijana wa Brass Band ya Umoja wa Vijana wa CCM wakiingia kwenye mkutano huo
 Wananchi wakishangilia kwenye mkutano huo
 Menyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Kilwa mkoani Lindi akihamasisha wananchi kwenye mkutano huo

 Kada wa CCM, Mohammed Albadawi ambaye amewahi kuwa kiongozi wa CUF katika ngazi mbalimbali na pia kuwania Ubunge katika jimbo la Mafia katika Uchaguzi Mkuu uliopita, akikichambua chama hicho alipohutubia kwenye mkutano huo .
 Vijana wakichangamsha mkutano huo
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa akimkaribisha Ole Sendeka kuhutibia mkutano huo
 Mwenyekiti wa CCM, mkoa wa Lindi Ali Mtopa akiserebuka kidogo jukwaani kabla ya kuwachia Uwanja Ole Sendeka

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...