Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Waziri Mkuu wa Papua New Guinea Mhe. Peter O Neil
Alipowasili Katika kituo cha Mikutano cha kimataifa ACC mjini Papua New
Guinea leo Mei 31,2016 kwa ajili ya kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa
siku mbili kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific (ACP)
unaojadili masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya
Wananchi wa Nchi wanachama, kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika
Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe walipokutana Katika kituo
cha Mikutano cha kimataifa ACC mjini Papua New Guinea leo Mei 31,2016
kwa ajili ya kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa siku mbili kwa Wakuu wa
Nchi za Afrika, Caribean na Pacific (ACP) unaojadili masuala ya kukuza
Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama,
kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo,
Usalama na Utulivu wa kisiasa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akichangia baadhi ya mada zilizowasilishwa kwenye mkutano wa siku mbili
kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific Katika kituo cha
Mikutano cha kimataifa ACC mjini Guinea leo Mei 31,2016. Mkutano huo
unaojadili kuhusu masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa
ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama, kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP
katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akifuatilia kwa makini Hotuba ya Waziri Mkuu wa Papua New Guinea Mhe.
Peter O Neil alipokua akifungua mkutano wa siku mbili kwa Wakuu wa Nchi
za Afrika, Caribean na Pacific Katika kituo cha Mikutano cha kimataifa
ACC mjini Guinea leo Mei 31,2016 Mkutano huo unaojadili kuhusu masuala
ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi
wanachama, kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na
Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wakuu wa Nchi za
Afrika, Caribean na Pacific waliohudhuria ufunguzi wa mkutano wa siku
mbili unaojadili kuhusu masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu
kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama, katika kuimarisha majukumu ya
Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa
kisiasa. Mkutao huo umefunguliwa leo Mei 31,2016 katika kituo cha
mikutano cha ACC mjini Papua New Guinea.
Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha Dkt. Servacius B. Likwelile.na katibu wake Waziri Rajab.
(Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment