Michuano
ya UEFA Euro 2016 ilianza rasmi kufanyika Ufaransa usiku wa June 10 2016
kwa kupigwa mchezo kati ya Ufaransa dhidi ya Romania, kabla ya kuanza
kwa mchezo huo kulifanyika sherehe mbalimbali za kuashiria usiznduzi wa
michuano hiyo.
Wakati wa
uzinduzi wa michuano hiyo kulikuwa na burudani mbalimbali ikiwemo
perfomance za muimbani Zara Larsson na David Guetta walikuwepo pia
kuburudisha watu katika michuano hiyo kwa mwaka 2016.
No comments:
Post a Comment