May 27 2016, aliyekuwa
mgombea Urais mwaka jana kwa tiketi ya Chadema na Waziri Mkuu Mstaafu,
Edward Lowassa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan hapa
nchini, Masahau Yoshida.
"Mbali
ya kumshukuru Balozi Yoshida kwa misaada mbalimbali wanayoitoa ila
zaidi tulijadiliana jinsi gani ya kufanya muendelezo na mikakati ya
kuchukulia misaada hii kama nyezo za kufikia malengo ya maendeleo na sio
njia ya utegemezi kiuchumi"- Lowassa
No comments:
Post a Comment