Pages

April 13, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI KUTOKA NCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Czech hapa nchini  Pavel Rezac, tukio hilo lilifanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam Balozi Mteule wa nchi ya  Jamhuri ya Czech hapa nchini  Pavel Rezac.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Czech hapa nchini  Pavel Rezac mara baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi mteule kutoka nchi ya  Jamhuri ya Sudani Kusini Mariano Deng Ngor aliyefika Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha hati yake za utambulisho.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Sudani Kusini Mariano Deng Ngor aliyefika Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha hati yake za utambulisho.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Brazil hapa nchini Carlos Alfonso Iglesias Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi Mteule wa Brazil hapa nchini Carlos Alfonso Iglesias Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Kuwait Mahadhi  Juma Maalim Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Mahadhi alifika Ikulu kwa ajili ya kuagana na Mhe. Rais kwa ajili ya kwenda kuanza kazi yake hiyo rasmi nchini Kuwait.
 Kaimu Mnikulu Ngusa Samike kulia akimkaribisha Balozi Mteule wa Brazil Carlos Alfonso Iglesias Ikulu jijini Dar es Salaam katikati ni Kaimu Mkuu wa Itifaki James Mbwana kutoka Wizara ya Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kikanda na Kimataifa. 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...