Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akilakiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa alipowasili kuweka
jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya
barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam
leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu
Dkt Norman Sigalla alipowasili kuweka
jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya
barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam
leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Naibu waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi Edwin Ngonyani alipowasili kuweka
jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya
barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam
leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na
balozi wa japan nchini Mhe Masaharu Yoshida alipowasili kuweka jiwe
la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya
barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo
Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na
Mwakilishi wa kampuni ya SOMITOMO alipowasili kuweka jiwe la msingi la
mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za
Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi
Aprili 16, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea saluti toka kwa Afisa Mwandamizi wa Uhamiaji alipowasili
kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye
makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar
es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema alipowasili kuweka jiwe la
msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara
za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo
Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na
Meya wa Temeke Mstahiki Abdallah Chaurembo alipowasili kuweka jiwe la
msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara
za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo
Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulika Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora alipowasili
kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye
makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar
es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale kabla
ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya
juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara
Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
Mbunge wa Segerea Mhe Bonna Kaluwa kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya
mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za
Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi
Aprili 16, 2016.
Msanii akicheza na nyoka
Baadhi ya wafanyakazi wa mradi huo
Brass Band ya Polisi ikiongoza Wimbo wa Taifa
Wanahabari kazini
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul makonda akiongea wakati wa hafla ya kuweka
jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye
makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar
es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Mtendaji
Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale akisoma muhtasari wa Mradi
kabla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara
ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya
Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
balozi wa Japan akiongea
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Dkt Norman Sigalla akiongea wakati wa kuweka
jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya
barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam
leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Meya
wa Temeke Mstahiki Abdallah Chaurembo akisalimia wananchi kwenye hafla
ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye
makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar
es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Meya wa Manispaa ya Ilala, Charles Kwiyeko akisalimia wananchi
Naibu waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani alipowasili kuweka
jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya
barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam
leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiongea wakati wa kuweka
jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya
barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam
leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akihutubia katika hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa
ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na
Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.

akisalimiana na wafanyakazi wa TANROADS katika hafla ya kuweka jiwe la
msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano
ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Balozi wa Japan Nchini Mhe Masaharu Yoshida akifungua pazia kuashiria
kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu
kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara
Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Balozi wa Japan Nchini Mhe Mashaharu Yoshida wakishangilia kuwekwa jiwe
la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye
makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar
es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akipena mikono na Balozi wa Japan Nchini Mhe Mashaharu Yoshida huku
wakishangiliwa baada ya kuwekwa jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa
ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na
Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16,
2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa na
balozi wa japan nchini Mhe Masaharu Yoshida wakifunua Taswira ya
mandhari itakavyokuwa baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi
wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere
maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa na
balozi wa japan nchini Mhe Masaharu Yoshida wakifunua Taswira ya
mandhari itakavyokuwa baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi
wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na
Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16,
2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa na
balozi wa japan nchini Mhe Masaharu Yoshida wakifunua Taswira ya
mandhari itakavyokuwa baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi
wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na
Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16,
2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akipata maelezo ya namna mandhari itakavyokuwa kutoka kwa Mtendaji Mkuu
wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale baada ya kuweka jiwe la msingi kwa
ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara
za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi
Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi
wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere
maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi
wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere
maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukata utepe
kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye
makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar
es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukata utepe
kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye
makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar
es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukata utepe
kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye
makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar
es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
viongozi wengine katika picha ya pamoja baada ya kukata utepe kuashiria
uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya
barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo
Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
wazee wa Dar es salaam katika picha ya pamoja baada ya kukata utepe
kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye
makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar
es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa
ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na
Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16,
2016

2016. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment