Waziri
Mkuu, Kasim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Bariadi Magharibi,
Andrew Chenge baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Dutwa akiwa katika
ziara ya mkoa wa Simiyu Machi3, 2016.Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum ,
Esther Midimu.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitaka maelezo kutoka kwa Kamanda wa Polisi wa
Mkoa wa Simiyu, Onesmo Lyanga kuhusu madai kuwa askari wa Usalama
Barabarani mkoani humo wanawatoza faini kubwa hadi sh 300,000/=
waendesha bodaboda. Alikuwa katika mkutano wa kuwaslimia wananchi kwenye
kijiji cha Dutwa wilayani Bariadi Machi 3, 2016.
Waziri
Mkuu, Kasim Majaliwa akikagua ujenzi wa nyumba ya kuishi ya Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi akiwa akika ziara ya mkoa wa Simiyu
Machi 3, 2016.
Wasanii
wa Bariadi wapiga ngoma wakati Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa alipowasili
kwenye bwawa la Ng'wansubuya wialayani Bariadi kufungua bwawa hilo Machi
3, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kufungua bwawa la
umwagiliaji la kijiji cha Ng'wasubuya wilayani Bariadi akiwa katika
ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 3, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akikagua Bwawa la umwagiliaji la kijiji cha
Ng'wasubuya wilayani Bariadi akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi
3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la Ofisi ya CCM
ya wilaya ya Bariadi akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 3,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment