Pages

March 3, 2016

WADAU WAIPONGEZA NICEMEDIA PRODUCTION ARUSHA KWA KUFANYA KAZI ZENYE UBORA..

Wadau mbalimbali wameisifu kazi nzuri iliyofanywa na NiceMedia Production.kwa nyakati tofauti Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi wamesema wamebahatika kuona nyimbo zlizofanyika NiceMedia na kusema kuwa zinaubora unaokubalika kimataifa ambapo wametolea mfano baadhi ya nyimbo ambazo wamezitazama kupitia You Tube ambapo wamezitaja nyimbo hizo kuwa ni wimbo Unaozungumzia mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi yaani Albino ulioimbwa na Mr&Mrs Elihuruma Chao unaoitwa Abino hawana hatia na kusema kwamba Wimbo huo umekidhi vigezo vyote vya kimataifa.

Wameendelea kusema kuwa Wimbo mwingine ambao umeonekana kuwa bora ni ule ulioimbwa na Oculy Pendaely unaoitwa Najivunia kuwa na yesu ambao unabeba album yake ya kwanza iitwayo Najivunia Kuwa na Yesu. Tazama wimbbo huu wa OCULY pendaely ambao umefanyika katika studio za NiceMedia Production Arusha chini ya producer Elihuruma Chao ambae ndie aliyifanya Audio ya wimbo huu pamoja na Shooting ya Albam ya mwimbaji Oculy Pendaeli iitwayo najivunia kuwa na Yesu ikiwa ina nyimbo takriban nane.
Ukibahatika kupata albam hii utabarikiwa zaidi. NiceMedia ni studio ambayo inarekodi nyimbo za injili Pekee pamoja na matukio mmbalimbali kama vile Vipindi vya radio na Televishei,Harusi ,Ubarikio nk.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...