Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana wakati
alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Salama Hotel ya Bwawani Mjini Zanzibar
kuhudhuria katika Taarab rasmi ya kumpongeza kwa ushindi mkubwa wa
Kishindo katika uchaguzi Mkuu wa marudio,iliyocharazwa na Vikundi vya
Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One (katikati) Naibu Katibu
Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mama Asha Balozi katika Ukumbi wa Salama Hotel ya
Bwawani Mjini Zanzibar jana katika Taarab rasmi ya kumpongeza kwa
ushindi mkubwa wa Kishindo aliyoupata katika uchaguzi Mkuu wa marudio,iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi katika Ukumbi wa Salama Hotel ya Bwawani Mjini Zanzibar jana
alipohudhuria katika Taarab rasmi ya kumpongeza kwa ushindi mkubwa wa
Kishindo aliyoupata katika uchaguzi Mkuu wa marudio,iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Mhe,Abdalla Mwinyi Khamis (kushoto) na Mama Asha Balozi
(kulia) wakiangalia ratiba ya Taarab rasmi ya kumpongeza Rais kwa
ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio,taarab
rasmiiliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One jana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja,
Baadhi ya Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM waliohudhuria katika taarab rasmi ya kumpomgeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio,taarab rasmi iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One jana katikaukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Mhe,Abdalla Mwinyi Khamis (kushoto) na Mama Asha Balozi (wa
pilikulia) na Mama Fatma Karume pamoja na Viongozi wengine wakiangalia
Taarab rasmi ya kumpongeza Rais kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata
katika uchaguzi wa marudio, Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na
Zanzibar One ndio vilivyotoa burudani hiyo jana katika ukumbi wa
Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja
Msanii Makame faki (Sauti ya Zege) akiimba wimbo wa “Katumbukia Mwenyewe” wakati wa Taarab rasmi ya kumpongezaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio, iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One jana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa makamo wa Pili wa
Rais Mstaafu Mama Asha Suleiman Iddi wakitunza wakati wa Taarab rasmi ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio, iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One jana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja
Mwimbaji wa Rukia Ramadhan wa Zanzibar One akiimba wimbo unaosema”Kupata Majaaliwa”wakati wa Taarab rasmi ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio, iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One jana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja,
[Picha naIkulu.]
No comments:
Post a Comment