Paroko
wa Parokia ya Mtakatifu Petro Stephano Kaombwe akiongoza Ibada ya
Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es
salaam leo Ijumaa April 25, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary
Majaliwa wakiwa na waumini wengine katika Ibada ya Ijumaa kuu katika
Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Ijumaa
April 25, 2016
Msalaba ukipelekwa altereni kuanza ibada ambayo imehudhuriwa pia na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary
Majaliwa wakiwa katika Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu
Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Ijumaa April 25, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akijiandaa kuubusu Msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa
la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Ijumaa April 25,
2016
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akibusu Msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa
kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo
Ijumaa April 25, 2016
Mke
wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa akibusu Msalaba wakati wa Ibada ya
Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es
salaam leo Ijumaa April 25, 2016
Sehemu ya waumini katika Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Ijumaa April 25, 2016 |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na watu wenye ulemavu baada ya Ibada ya Ijumaa kuu katika
Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Ijumaa
April 25, 2016. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment