Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia kwa makini zoezi la uhakiki wa silaha zake lililokuwa
likifanywa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Neema Laizer Ikulu jijini Dar
es salaam. Mhe. Rais amekuwa mtu wa kwanza kutekeleza agizo la Mkuu wa
Mko wa Dar es Salaam Paul Makonda.
Mkaguzi
Msaidizi wa Polisi Neema Laizer (kulia) akiendelea na zoezi la kuhakiki
Silaha za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiitoa silaha yake aina Bastola kwa ajili ya uhakiki Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Kamanda
wa Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam Kamishna CP Simon Sirro
kulia akimkabidhi Silaha aina ya Bastola Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya uhakiki
uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kamanda
wa Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam Kamishna CP Simon Sirro
kulia akimkabidhi silaha aina ya shortgun Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya uhakiki
uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiiweka silaha yake vizuri mara baada ya kuhakikiwa Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiweka vizuri silaha yake aina ya Shortgun mara baada ya uhakiki
uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza mara baada ya kumaliza zoezi la kuhakiki silaha zake Ikulu
jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Rais amewataka wananchi wote
wanaomiliki silaha kujitokeza kuhakiki silaha zao kama alivyoagiza Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiweka vizuri silaha yake mezani kwa ajili ya uhakiki.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiweka dole gumba katika moja ya fomu za uhakiki Ikulu jijini Dar es
Salaam. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment