Pages

March 21, 2016

Breaking: Dk. Ali Mohamed Shein ametangazwa kuwa Mshindi wa kiti cha Urais Zanzibar

March 20 2016 ilikuwa ni siku ya ambayo Wananchi wa Zanzibar walipata  fursa ya kupiga kura ili kuwachagua viongozi wao, na hii ni baada ya kufutwa kwa uchaguzi wa awali uliofanyika october 25 2016.
Leo March 21 Tume ya Uchaguzui Zanzzibar imetangaza matokeo ya uchaguzi huo ambapo imemtangaza mgombea wa CCM Dk Ali Mohamed Shein kuwa Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuibuka na ushindi wa asilimia 91.4%

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...