Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi-Bukoba Abedinego Kesho mshahara ndiye aliyeongoza Ibada Shuleni hapo.
Wa pili (kulia) ni Mkuu wa Shule Josia Girls High School akiwa sambamba na Viongozi wa shule Hiyo
Baadhi ya Walimu wa Shule hiyo wakifuatilia kwa karibu Ibada
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi-Bukoba Abedinego Kesho Mshahara akiendesha Ibada ya shukrani.
Wanafunzi wakiimba Wimbo wa Kwaya ya RC Josiah SS wakati wa Ibada ya Shukrani
Baadhi ya Wanafunzi wa Josiah wakifuatilia kwa karibu Ibada hiyo
Mwenyekiti wa bodi ya shule, Johansen Rutabingwa akiongea wakati wa Ibada hiyo
Wakimpongeza Mwanafunzi aliyefanya vizuri sana kwenye Mtihani wa kidato cha Nne kwa kupata Daraja la 1
Pongezi
Picha ya Pamoja baadhi ya Wanafunzi waliomaliza kidato cha nne na Viongozi wa Dini
Picha ya pamoja wahitimu wa kidato cha Nne, Walimu pamoja Viongozi wa Dini
Wanafuzi wakiwa kwenye picha ya pamoja
Baadhi ya Wanafunzi waliohitimu kidato cha NNE 2015 na kufanya vizuri kwenye Mitihani yao ambapo 36 walifaulu daraja la kwanza na wanafunzi 11 wamepata daraja la pili.
No comments:
Post a Comment