Rais
John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki
naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru
Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.
Rais
John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki
naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru
Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.
Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia katika mkutano wa Rais
John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye
kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu
jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.
Waziri
Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe
Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni
ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es
salaam leo Alhamisi February 18, 2016.
Wageni mbalimbali wakiwempo waandishi wa habari, wasanii na makundi mengine wakimsikiliza Rais Magufuli. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.
Wageni mbalimbali wakiwempo waandishi wa habari, wasanii na makundi mengine wakimsikiliza Rais Magufuli.
Wageni mbalimbali wakiwempo waandishi wa habari, wasanii na makundi mengine wakimsikiliza Rais Magufuli.
Rais
John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mhe January Makamba huku Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Nape Nnauye kabla ya kuongea
na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi
mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo
Alhamisi February 18, 2016
Rais
John Pombe Joseph Magufuli na Mama Janeth Magufuli wakiongozana na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe
January Makamba huku Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe
Nape Nnauye wakielekea ukumbini kuongea na baadhi ya makundi
yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita
kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016
Rais
John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wataalamu wa
TEHAMA baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye
kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini
Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016
Rais
John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na kundi la sanaa la
Tanzania One Theatre baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki
naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru
Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Fleva baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Movie baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016
Rais
John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na sehemu ya
wanahabari aliokuwa nao katika kampeni baada ya kuongea na baadhi ya
makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015
aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February
18, 2016
Rais
John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na watendaji kutoka
CCM Makao Makuu baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki
naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru
Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016
No comments:
Post a Comment