Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili mjini Singida jioni leo, kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika kesho mjini Singida.
Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete salimiana na wananchi alipowasili mjini Singida jana jioni , kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika kesho mjini Singida.
Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete salimiana na wananchi alipowasili mjini Singida jioni leo, kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika kesho kutwa mjini Singida.
Akina mama wakicheza ngoma mbele ya Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete (kushoto).
Kikwete akiwapungia mkono wananchi
Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone. Kulia ni Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Rais Mstaafu Kikwete akiwa na Nape, Kone na Kinana baada ya kuwasili
Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi.
Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana akijadiliana jambo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye baada ya kumlaki Mwenyekiti wa chama hicho, Jakaya Kikwete mjini Singida.
No comments:
Post a Comment