Baadhi ya abiria waliokuwa wamepanda kivuko cha Mv Kigamboni wakiwa wamekumbwa na butwaa kufuatia kivuko hicho walichokuwa wamepanda kukatika sehemu ya kushukia abiria na Magari na kupelekea hofu kubwa miongoni mwao.
Kama uonavyo pichani baadhi ya abiria hao wakijaribu kujinusuru na hali hiyo,kwani kivuko hicho kilikuwa kimesheheni abiria lukuki
Abiria wakipewa maelekezo namna ya kushuka kwenye kivuko hicho.
No comments:
Post a Comment