Pages

January 3, 2016

Mbunge Professor Jay kutimiza aahidi hii jimboni kwake…

Ni headlines za mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor Jay ambaye amezungumza na ripota wa millardayo.com kuhusiana na kutekeleza kile alichokiahidi wakati wa kampeni.
Ni kweli na moja kati ya vitu nilivyoahidi wakati wa kampeni zangu ni kwangu niliwambia wananchi kwamba wakinipa ubunge katika jimbo la Mikumi basi nitahakikisha kuwa naboresha sekta mbalimbali ikiwemo sanaa, ambapo wasanii waishio Mikumi watakuwa wakirekodi kupitia studio ya Mwanalizombe’ – Professor Jay
WE 201344444555666
‘Studio yangu ya Mwanalizombe nitaileta Mikumi kuanza kazi muda si mrefu kuanzia sasa tumeshaleta baadhi ya vifaa hapa kwahiyo Mwanalizombe Studio iliyokuwa Dar es Salaam kuanzia sasa hivi itakuwa inapatikana Mikumi jimbo kwangu’ – Professor jay

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...