NCHI za kiafrika zimetakiwa kuweka nguvu ya pamoja kuhakikisha zinapata njia bora na za kudumu za kupambana na magonjwa ya mlipuko kama Ebola nakuachana na utegemeziwa misaada kutoka nchi wa hisani.
Dokta Andrew KituawataasisiyaafyayaNgalakeriya Morogoro aliyasema hayo jana katika warsha ya siku mbili ya kujadili njia bora na za kudumu za kupambana na magonjwa ya mlipuko kama Ebola inayofanyika mkoani Arusha.
Alisema kwa kuwa bara la
Afrika ni miongoni mwa waathirika wa magonjwa hayo wadau husika katika sekta ya afya kwa pamoja na serikali za nchi husika hazina budi kuwekeza nguvu katika kutafuta suluhisho la magonjwa hayo.
Alisema ingawa tayari kuna jitihada mbalimbali zinafanyika katika mapambano dhidi ya magonjwa hayo lakini bado kumeonekana kuna changamoto kubwa yakukabiliana nayo katika maeneo yanayoathirika.
“Waafrika tunahitajika kuweka nguvu ya pamoja katika kuhakikisha tunapata njia bora
na zakudumu za kupambana na magonjwa ya mlipuko kama Ebola,”
“Warsha yetu ya siku mbili inayoshirikisha wadau kutoka mashirika na taasisi mbalimbali za afya itajadili nakubadilishana uzoefu wa jinsi ya kupambana na magonjwa hayo na hatimaye kupata mikakati maalumu ya kuiwekea nguvu dhidi ya mapambano hayo,” alisema Dokta Kitua.
Kwaupande wake Professa Julias Lutwan kutoka Uganda alisema nchi zote kwa pamoja bila kujali kama zimewahi kuathirika au la zinahitajika kujiweka tayari kukabiliana na magonjwa hayo.
Alsemakwaafrikaukandawanchizamagharibizinaonekanakupataatharihiyokwakiasikikubwaunapolinganishanaukandawamashirikilakinibadokwapamojatunahitajikakujiwekasawakwatahadharikatikahilo.
Kwaupande wa changamoto wanazokabiliana nazo katika tafiti wanazofanya kwa pamoja na mapambano ya jumla ya magonjwa hayo alisema mawasilia nonakadazachinikatikamaeneoyavijijininimiongonimwachangamotokubwa.
No comments:
Post a Comment