MBUNGE WA MONDULI KUPITIA TIKETI YA CHADEMA JULIUS KALANGA AKIKABIDHIWA FIMBO YA UONGOZI
Mbunge wa Monduli kupitia CHADEMA Julius Kalanga akikabidhiwa fimbo maalum na mzee wa Mila maarufu kama Laigwanan ishara ya kupewa mamlaka na uongozi katika ziara yake aliyoifanya katika eneo la Mto wa Mbu wilayani humo.
Mbunge wa Monduli kupitia CHADEMA Julius Kalanga akizungumza na wananchi katika eneo la Mto wa Mbu.Kufuatia ziara yake ya kutembelea wananchi .Picha na Ferdinand Shayo
No comments:
Post a Comment