HABARI ZA HIVI PUNDE:MELI YA ROYAL YAUNGUA MOTO IKITOKEA PEMBA KWENDA UNGUJA
Meli ya royal ilikuwa ikitokea unguja kuelekea Pemba hivi sasa inaungua, kwa Bahati Serengeti ilikuwa inatokea Pemba kwenda unguja nimeikuta njiani hivyo shughuli za uzimaji moto na uokozi Wa abiria na Mali zao inafanyika kama invyoonekana kwenye picha
No comments:
Post a Comment