Pages

December 29, 2015

EDWARD LOWASSA AWAJULIA HALI WAGONJWA MJINI MOSHI

ALIYEKUWA mgombea Urais kwa ya CHADEMA na kuungwa mkono na UKAWA Edward Lowassa,akimjulia hali mzee Alphan Kangero(95) pamoja na wagonjwa wengine katika hospitali ya Kilimanjaro CRCT Mjini Moshi, alipokuwa njiani kuelekea Monduli Kwa mapumziko ya kuuga mwaka. Lowassa alitokea shambani kwake Mzeri Handeni ambako alitumia muda wa mapumziko ya Krismas kuchunga Ng'ombe na kusali na wananchi wa eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...