Pages

December 31, 2015

Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney …

December 31 ikiwa tunaelekea kufunga mwaka 2015 kwa kusubiri saa kadhaa zitimie ili tuumalize mwaka. Hii ni Alhamisi ya mwisho kwa mwaka 2015. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TBT Pichaz za mastaa hawa wa soka, Juma Kaseja, Neymar, Ronaldo, Messi na Wayne Rooney.
Noticia-66339-cristiano_67
Ronaldo wa pili kutoka kushoto akiwa na familia yake
1346782381-ronaldo-2
Cristiano Ronaldo na marehemu baba yake
IMG_20151231_130556
Juma Kaseja enzi hizo kushoto chini akivaa soksi
Wayne Rooney as a ten year old and pictured in 2012
Wayne Rooney enzi zake za utoto upande wa kushoto
NEYMAR, JOGADOR DO SANTOS FC SUB-15 - ESPORTES - FUTEBOL - Neymar, jogador do Santos FC Sub-15, durante treino - CT Rei Pelé - Santos - SP - Brasil - 16/03/2007 - Foto: Ricardo Saibun/Gazeta Press
Neymar
maxresdefault
Neymar
neymar-jr-with-hair-and-head-shaved-in-early-years-in-santos
Neymar
lionel-messi-childhood-photo-2
Lionel Messi enzi hizo
Lionel-Messi_2751594b
Lionel Messi enzi hizo
lionel-messi-childhood
Lionel Messi enzi za utoto

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...