Pages

July 7, 2015

MAMBO YAANZA KUWA MSWANO UKUMBI MPYA WA CCM MJINI DODOMA

Muonekano wa nje wa Jengo jipya la Ukumbi wa Mikutano wa kisasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Dodoma. Ukumbi huu utaanza kutumika rasmi Julai 10 - 12, 2015 wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM wa kupitisha jina la Mgombea Urais atakayeipeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu. Ukumbi huu unauwezo wa kuchukua Watu zaidi ya 3000.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiwaongoza baadhi ya wanahabari waliotembelea Ukumbi huo leo.
 Muonekano wa ndani ya Ukumbi huo.
 Mafundi wakimalizia ukarabati wa ndani ya Ukumbi huo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...