Viongozi
wa meza kuu wakifuatiliac mchezo huo kati ya Muembeladu na Kisimajongoo
katika Bonaza la kukuza Vipaji kwa Vijana lililodhaminiwa na Mbunge wa
Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Masauni. na kutoa Ofa kwa mchezaji Bora
kupata fursa ya kusoma Kozi ya Computer katika Kituo cha Vija cha TAYI
Mchezaji wa timu ya Muembeladu akimpita mchezaji wa timu ya Kisimajongoo.timu ya Muembeladu imeshinda mabao 4--1
Mchezaji aliyeibuka mchezaji Bora Amour Janja akiwapita wachezaji wa timu ya Kisimajongoo.
Mchezaji wa timu ya Muembeladu akiwa na mpira baada hya kuifungia timu yake.
Mchezaji wa timu ya Muembeladu akiweka majaro golini kwa timu ya Kisonajongoo. timu ya Muembeladu imeshinda 4-- 1
Mchezaji
wa timu ya Muembeladu Amour Janja akijiandaa kuifungia timu yake wakati
wa michezo ya Bonaza Masauni Cup, mchezaji huo ameibuka mchezaji Bora
wa mchezo huo kwa kufunga mabao manne.
Waku za Majukumu Wazima Wote ndio furaha yetu wana Familia TBN
Mchezaji wa timu ya Muembeladu akijiandaa kuzuiya mpira huku mchezaji wa timu ya Kisimajongoo akijiandaa kumzuiya.
Katibu
wa Kikwajuni SACCOS Ndg Mussa Haji Mussa akimkabidhi fedha Mchezaji
Bora wa Mchezo huo wa Bonaza Amour Janja baada ya kutoka kidedea kwa
kuifungia timu yake ya Muembeladu mabao 4 dhidi ya timu ya Kisimajongoo
katika michezo wa Bonaza inayofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja.
No comments:
Post a Comment