Pages

July 4, 2015

BENKI YA CRDB YASAIDIA KAMATI YA AMANI YA DINI


Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi hundi ya Shilingi milioni 12 kwa ajili maandalizi ya Futari iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Madhehebu ya Dini. Kulia ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum wakionyesha hundi ya shilingi milioni 12 kwa ajili ya maandalizi ya futari iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya viongozi wa Madhehebu ya dini itakayofanyika Ijumaa Julai 3 kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum akitoa shukrani zake baada ya kupokea hundi ya sh. milioni 12 kutoka benki ya CRDB

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...