Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Abbas Kandoro baada ya
kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza, ambayo
hutolewa kwa wananchi waaminifu ambao kwa kujitolea kwao moja kwa moja
wamelipatia Taifa sifa katika nyanja za kisiasa, kiuchumi, kiulinzi na
kijamii
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Parseko Vincent Kone baada
ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Balozi Liberata Mulamula nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Balozi Liberata Mulamula baada
ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Tuvako Nathaniel Manongi
baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Kipenka Musemembo Musa
baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili,
ambayo hutolewa kwa watumishi wa Umma kuanzia Ngazi za Wakurugenzi
kwenda juu na ambao wametumikia nchi si chini ya miaka 20 mfululizo
wakiwa Maafisa waandamizi na walioonyesha Maadili Mema.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Florens Martin Turuka
baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Mhe. Mbaraka Mohammed Abdulwakil
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Mhe. Sophia Elias Kaduma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Mhe. HAB Mkwizu
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza baada ya kimvisha nishani ya Jamhuri
ya Muungano Daraja la Pili Balozi Rajab Hassan Gamaha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Mhe. Peniel Lyimo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Profesa Idris Suleiman Kikula
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Mhe. Eliakim Paul Martin Mrema
Rais
Kikwete akimvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la
Pili Bw. Emmanuel Roki Eugen Funto ambayo hutolewa kwa watumishi wa Umma
kuanzia Ngazi za Wakurugenzi kwenda juu na ambao wametumikia nchi si
chini ya miaka 20 mfululizo wakiwa Maafisa waandamizi na walioonyesha
Maadili Mema.
Rais Kikwete akimvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Agatha Claud Swai
Rais Kikwete akimpongeza baada ya kumvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Mariam Subeti Sauri
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Wilberforce Kahwa Kikwasi
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Maria Immaculate Buchard
Rais Kikwete akimpongeza baada ya kumvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Merina Leslie Ngoleka
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Rosalia Marmo Massay
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Rosalia Marmo Massay
Rais Kikwete akimvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Dkt. Moses Losolo Swai
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Gerald Michael Kulindwa
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Dida Kalist Issuja
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Dida Kalist Issuja
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Katembo Saidi Msikilwa
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Asumpta Yepi Mbawala
Rais Kikwete akimpongeza kwa Nishani ya Ushupavu Koplo wa Magereza Katembo Saidi Msikilwa
No comments:
Post a Comment