Msafara wa Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa ukipokelewa kwa shangwe na wanaCCM na Wananchi wa Mji wa Babati,
Mkoani Manyara, wakati alipowasili kwenye mji huo kusaka
wadhamini watakaomuwezesha kutapa ridhaa ya chama chake kuwania Urais
wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25,
2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Sehemu ya Wakazi wa Mji wa Babati wakimshangilia Mh. Lowassa pale walipomuona.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa na baadhi la viongozi wa CCM Mkoa wa Manyara wakati alipowasili
kwenye Ofisi Kuu za Chama hicho, Mjini Babati Juni 25, 2015.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akimsalimia Kijana Jacob Jeremiah ambaye ni mlemavu wa miguu,
alipokutana nae nje ya Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Manyara, iliopo Mjini
Babati Juni 25, 2015, wakati akiwa katika ziara ya kusaka wadhamini
watakaomuwezesha kutapa ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania
kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa (wa pili kulia), Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha,Onesmo Ole
Nangole pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu
wakitembea sambamba na wanaCCM wengine kuelekea kwenye uwanja wa CCM
Wilaya ya Babati, tayari kwenda kukabidhiwa fomu za Wadhamini, Juni
25, 2015.
Safari ikiendelea.
Mh. Lowassa akisaini kutabu cha Wageni cha Ofisi ya CCM Wilaya ya Babati, Mkoani Manyara.
Muimbaji
wa Nyimbo za Injili, Bahati Bukuku akiimba moja ya nyimbo zake wakati
akiwasalimia WanaCCM na Wananchi wa Mji wa Babati, Mkoani Manyara
Juni 25, 2015.
Sehemu ya WanaCCM na Wananchi wakazi wa Mji wa Babati Mkoani Manyara, wakiwa kwenye Uwanja wa CCM Wilaya ya Babati.
Mjumbe
wa NEC kutoka Wilaya ya Mlele, Mkoani Katavi, Kampala Thomas Maganga
akiwasalimia wanaCCM wa Mji wa Babati Mkoani Manyara.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akisema neno wakati akiwasalimia wanaCCM na Wananchi wa Mji wa Babati, Mkoani Manyara Juni 25, 2015.
WanaCCM wa Babati Mkoani Manyara.
Mbunge
wa Jimbo la Babati Mjini, Mh. Kiseryi Chambiri akizungumza jambo wakati
Mh. Lowassa alipofika kuomba udhanini wa WanaCCM wa Mji wa Babati,
Mkoani Manyara Juni 25, 2015.
Meza kuu.
Tabasamu la Mh. Lowassa baada ya maneno ya Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini, Mh. Kiseryi Chambiri.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipeana mkono na Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini, Mh. Kiseryi Chambiri.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Edward
Lowassa akipokea fomu ya udhamini kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya
Babati Mjini, Daniel Ole Porokwa, Juni 25, 2015. Mh. Lowassa amepata
udhamini wa wanaCCM 42, 405 wa Mkoa wa Manyara.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Edward
Lowassa akizungumza wakati akiwashukuru wanaCCM wa Mkoa wa Manyara,
waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania
kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Lowassa
amepata wadhamini 42, 405 , Mjini Babati Mkoani Manyara , Juni 25,
2015.
No comments:
Post a Comment