Askari wawili wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi
cha usalama cha MONUSCO huko Congo, wameuawa
hapo jana baada kushambuliwa na watu wenye silaha huko Kivu ya
Mashariki.
Katika shambulizi hilo, wanajeshi 13 wamejeruhiwa na waasi hao huku wanajeshi wanne wakiwa hawajulikani walipo.
No comments:
Post a Comment