STEVEN
GERRARD AMEIFUNGIA LIVERPOOL BAO LA KUSAWAZISHA NA KUFANYA MATOKEO YAWE
1-1 DHIDI YA CHELSEA. NDIYO BAO LAKE LA MWISHO AKIICHEZEA TIMU YAKE, PIA
BAO LAKE LA MWISHO KATIKA UWANJA WA STAMFORD BRIDGE MAARUFU KAMA
DARAJANI.GERRARD ANAONDOKA LIVERPOOL MWISHONI MWA MSIMU HUU KWENDA ZAKE
LA GALAXY YA MAREKANI.HATA HIVYO BAO HILO HALIJAISAIDIA LIVERPOOL, KWANI
INAONEKANA IMEKOSA NAFASI YA KUCHEZA LIGI YA MABINGWA ULAYA, MWAKANI.
No comments:
Post a Comment