Floyd
Mayweather ndie mtu aliyepata pesa nyingi baada ya pambano lakini sio
mtu pakee aliyepata pesa baada ya pambano hilo kuisha. Najua hata mtaani
kwenye kuna watu waliweka mizigo na kushinda kiasi cha pesa.Sasa kwa
upande wa kimataifa kuna mtu kama 50 Cent ambae ni rafiki wa Floyd
Mayweather aliweka kiasi cha dola milioni 1.4 na kashinda kwasababu
aliweka upande wa The Money Team. Davido kutoka Nigeria ali-spend time
yake akiwa Las Vegas na yeye aliweka dola 20,ooo kwa upande wa Floyd
Mayweather bila kumsahau original Bad Boy P Diddy aliweka dola 250,000
.
Hawa ni baadhi ya watu tu waliotangaza na wengine hawajatangaza mizigo waliyoweka, vipi kwa upande wako.
No comments:
Post a Comment