Mbunge
wa viti Maalumu mkoa wa Kilimanjaro,Lucy Owenya akiwasili katika uwanja
wa michezo wa shule ya Sekondari Singhiti kwa ajili ya ufunguzi wa
mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Moshi
vijijini na kushirikisha kata 16 za jimbo hilo.
|
Baadhi ya wananchi waliohudhulia ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015.
|
Mbunge Owenya akicheza ngoma katika sherehe za ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup.
|
Baadhi
ya timu zinazoshiriki mashindano hayo zikiwa katika uwanja wa shule ya
sekondari Singhiti kwa ajili ya ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup
2015.
|
Mratibu wa mashindano hayo,Charles Mchau akizungumza jambo katika ufunguzi wa mashindano hayo.
|
No comments:
Post a Comment