Malori ya
kutosha yameshafikisha mamilioni ya bia maarufu kama Budweiser, Miller
Lite, Corona na Tecate kwenye hotel ya MGM Grand ambapo pambabo la Floyd
Mayweather vs Manny Pacquiao usiku wa May 2 huko LasVegas.
Hizo
brand tofauti za bia zimelipa zaidi ya $5milioni ili kuwa moja kati ya
wadhamini wa pambano hilo. Baadhi ya watu waliowai vyumba vya kawaida
wamepata kwa bei ya $1600 kwa usiku wa Ijumaa na Jumamosi.
Uongozi
wa hotel umesema kwa historia ya mapambano yaliyopita na ukifananisha na
hili wanategemea watu zaidi ya 50,000 kufika usiku huo. Pia kuna
wafanyakazi wapya 14,000 wameongezeka maalum kwa ajili ya usiku huu.
Pambano
hili litahusisha wasanii wengi sana wa hiphop ambao wataenda ku-support
Mayweather na wageni wengi wa hali ya juu. Rais wa hotel hiyo anasema
kwamba usalama wa wageni ni wa hali ya juu.
No comments:
Post a Comment