Baada ya kuhutubia raisi huyo ambaye anafikisha miaka 91 tar 21 mwezi huu alianguka akishuka katika ngazi kama ambavyo picha zinaonekana. Akiwa Ethiopia, Mugabe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU)
1. Alianza Kushuka Katika Ngazi
2. Akakosea Kukanyaga Ngazi na Kuteleza

إرسال تعليق