Pages

February 21, 2015

RAIS KIKWETE AWA MWENYEKITI MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Rais Jakaya Kikwete,Naibu Rais wa Kenya,William Rutto na maafisawengine wakiwa kwenye Jengo la mikutano wa kimataifa la Kenyatta International Convention Center(KICC)Nairobi,Kenya wakati wa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania katika mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wanchi za Afrika Mashariki uliofanyika jana.
Kutoka kushoto ni mgeni mwalikwa,Rais wa Sudani Kusini,Salva Kiir,Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza,Rais Jakaya Kikwete(Tanzania),Rais Uhuru Kenyatta(Kenya)Rais Yoweri Museveni(Uganda)Rais Paul Kagame(Rwanda)na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano kwenye mkutano wa kawaida wa 16 waWakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika jana.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...