Balozi
wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akiongea
na Watanzania waishia Denmark siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 siku
alipokutana nao kwenye Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..
Balozi
wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu
akisalimiana na watanzania waishio nchini Denmark siku ya Jumamosi
Februari 21, 2015 Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel.
Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..
Balozi
wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akiwa
katika picha ya pamoja na Watanzania waishio Denmark.
No comments:
Post a Comment