Pages

February 23, 2015

Askari wa JKT Wakusanyika Muhimbili Kumjulia Hali Mwenyekiti wao Aliyetekwa

Vijana mbalimbali ambao walipata mafunzo kutoka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), leo wamekutana katika eneo la Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, kisha kuelekea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kumjulia hali mwenyekiti wao George Mgoba ambaye alitekwa na watu wasiojulikana.
Mwenyekiti wa JKT, George Mgoba akiwa wodini.

Askari wakiimarisha usalama eneo la Hospitali ya Muhimbili.
Baadhi ya wanajeshi wa JKT wakiingia hospitalini.
Baadhi ya wanajeshi wa JKT wakiingia hospitalini.
Baadhi ya askari wa JKT wakiwasili Muhimbili.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...