Pages

February 4, 2015

ALIYEJISHINDIA MILIONI 100 ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE

Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni mkazi wa Kilolo mkoani Iringa(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla maalum ya kukabidhiwa kitita chake,Wengine katika picha Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Brigitta Stephen(kushoto) na Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam,Selie Mlay.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Brigitta Stephen(kushoto) na Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam,Selie Mlay(kulia)wakimshuhudia Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni mkazi wa Kilolo mkoani Iringa,akiowanyesha waandishi wa habari mamilioni yake aliyojishindia kupitia promosheni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Brigitta Stephen(kushoto) na Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam,Selie Mlay(kulia)wakimsaidia kubeba mamilioni ya Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni mkazi wa Kilolo mkoani Iringa,wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi kitita hicho.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni mkazi wa Kilolo mkoani Iringa(kulia)akipokea kitita chake kutoka kwa Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania, Brigitta Stephen(kushoto)wakati wa hafla maalum ya kukabidhiwa kitita hicho leo jijini Dar es Salaam, aneshuhudia katikati ni Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam,Selie Mlay. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam,Selie Mlay(katikati) akimsisitiza jambo Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni mkazi wa Kilolo mkoani Iringa(kulia) wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi kitita hicho,anaeshuhudia kushoto ni Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania, Brigitta Stephen .Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania walio hudhuria katika hafla fupi ya kukabidhiwa kitita cha shilingi milioni 100 kwa mshindi wa kwanza wa kitita hicho kupitia promosheni ya JayMillions.Kuna zaidi ya bilioni 20/- zinawasubiri wateja Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...