Pages

December 17, 2014

WAZIRI NYALANDU AKABIDHIWA MAGARI MATANO KUKABILIANA NA UJANGILI NCHINI

Magari matano yaliyokabidhiwa kwa Wizara ya Maliasili na Utalii kwaajili ya kuwezesha kukabiliana na ujangili nchini.

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akia magari  matano aina ya Land Cruiser  yaliyotolewa  na  taasisi Wildlife Conservation Foundation of Tanzania(WCFT) yenye thamani ya ya Sh 599 milioni

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akisalimiana na mmoja wa wawindaji mjini Arusha.

Maafisa wanyamapori wakiwa kwenye picha ya pamoja wakifurahia  magari yatakayowawezesha kufanya kazi kwa wepesi




No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...