Msanii wa Uganda, Jose Chameleone Dec 18 alifanya show aliyoipa jina
la 1 Man, 1 Show, 1 Million Kampala miongoni mwa wasanii waliohudhuria
ni wasanii kutokea Tanzania A.y,Rich Mavoko pamoja na mke wa Rais wa
Uganda Janet Museveni.
Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo iliyofanyika Dec 18 kwenye hotel ya Serena iliyopo Uganda
Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo iliyofanyika Dec 18 kwenye hotel ya Serena iliyopo Uganda
No comments:
Post a Comment